Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Machi 8,2024.
Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, ambayo ni fursa ya kutambua na kuadhimisha mchango wa wanawake katika jamii zetu. Ni siku ya kuenzi nguvu, ujasiri, na uvumilivu wa wanawake ulimwenguni kote, wakiwa kama wauguzi, waalimu, wajasiriamali, viongozi, na walinzi wa utamaduni wetu. Kupitia jitihada zao, wanawake wameleta mabadiliko chanya katika jamii zetu. Kauli mbiu ya […]
Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Machi 8,2024. Read More »