Januari 12, Maadhimisho ya Siku ya Mapinduzi ya Zanzibar.By admin / January 12, 2023 Tunapenda kuwatakia wote Sikukuu njema ya Mapinduzi ya Zanzibar!. Siku iliyopelekea Zanzibar kupata uhuru wake. Pamoja na amani ndani ya nchi, iliyopatikana kupitia Mashujaa waliopindua uongozi wa Usultani wa Zanzibar. Tunaungana na wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuadhimisha Mapinduzi ya Zanzibar. Tuendelee kuimarisha umoja na mshikamano wetu.